Nauza Bati za South Africa, Msauzi 400,000 kwa Bundle

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Wadau natafuta mnunuzi wa Bati za South Africa bundle 50 na kila moja nauza kwa sh. 400,000.
Kama kuna mnunuzi wa jumla, mazungumzo yapo, karibu PM
 
Niza aluminium geji 28/30 bando zinakaa 16/14 na urefu ni futi 12. Ziko Kigogo Dsm

Mkuu weka mambo wazi bando ya geji 28 zinakaa pisi ngapi na sh ngapi na bando za geji 30 zinakaa pisi ngapi na sh ngapi?
 
Hata kwenye job application inakuaga hivi hivi halafu tukikosa kazi tunalalama.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…