Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza.
Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia kuanzia 120,000 - 160,000/yr).
Kutokana Na Kupata Kazi ambayo itanibana na Kushindwa kutoa support kwa wateja wangu. Nimeona niiuze kwa mtu au Kampuni inayofanya huduma za Hosting.
Kama Utahitaji Full WHM nitakupatia au kama utahitaji Kufanya Migration Tu ya Account za Wateja tutakubaliana. Bei Njoo Na Offer yako na Pia Mawasiliano karibu PM. ( Kwa aliye Serious.)
NB: Hii ni kwa wale wanaojua/wanaofanya au wanaotarajia kuanza Biashara ya Hosting.
Karibuni.