ninauza boma eneo chanika mwisho limejengwa nusu kama ulionavyo ukubwa ni 28 kwa 12meters ipo jirani na bara bara ina vyumba 3,master 2 na cha kawaida kimoja,store,jiko na seble shimo la choo tayari nauza kwa 20m maongezi tu karibu sana ipo chanika mwisho kwa china
maji umeme vipo gari inafika mpka mlangoni
0669756657
0623953036