House4Sale Nauza Boma langu lililojengwa kwenye kiwanja, ukubwa wa zaidi robo eka

House4Sale Nauza Boma langu lililojengwa kwenye kiwanja, ukubwa wa zaidi robo eka

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Salam kwenu wakuu.

Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area.

Lina vyumba vitatu.

Masterroom 1

Vyumba vya kawaida -2

Sitting room

Dinning room

Kitchen na store yake.

Public toilet.

Maji ya bomba yapo hapo hapo,bomba limepita mbele ya Kiwanja.

Kumezungukwa na makazi kama inavyoonekana kwenye picha.

Umeme bado nguzo mbili kufikia kwenye Kiwanja,majirani wameshajaza fomu za maombi,wanasubiri upatikanaji wa nguzo.

Liko mita 200 toka barabara kuu ya Pangani-Tanga ambayo kwa sasa inajengwa kiwango cha lami,kutoka Posta/Bandarini hadi hapo 8km na usafiri wa daladala upo,eneo linatosha kujenga nyumba 4 za kawaida...
Bei-18mln hati yake ipo ya miaka 33.
Mawasiliano ya WhatsApp ni 0742666736.

Mimiliki ni mimi mwenyewe

Attachments​


IMG-20201224-WA0003.jpg
IMG-20201224-WA0002.jpg
IMG-20201224-WA0004.jpg
IMG-20201224-WA0005.jpg
IMG-20210102-WA0008.jpg
IMG-20210102-WA0006.jpg
IMG-20210102-WA0007.jpg
IMG-20210102-WA0005.jpg
 

Attachments

  • IMG-20210102-WA0004.jpg
    IMG-20210102-WA0004.jpg
    44.2 KB · Views: 4
  • IMG-20210102-WA0003.jpg
    IMG-20210102-WA0003.jpg
    34 KB · Views: 4
Mkuu ni mambo ya ada nini? Nakushauri tu tumia verified id maana huna haja tena ya kutumia tena fake Id, wakati details zako ziko wazi hapa. Hata hivyo nakutakia biashara njema.
 
Mkuu hivi hii Neema ni maeneo Karibu na wapi?

Dah pesa yangu imekata aisee otherwise ningekua nshafanya yangu. Kama ikiendelea kuwepo tuombe Mungu insha'Allah
 
Mkuu hivi hii Neema ni maeneo Karibu na wapi?
Dah pesa yangu imekata aisee otherwise ningekua nshafanya yangu. Kama ikiendelea kuwepo tuombe Mungu insha'Allah.
Neema iko Pangani road, karibu na Mwambani ama Mwahako. Karibu pia na shule za Istiqama
 
Mkuu ni mambo ya ada nini? Nakushauri tu tumia verified id maana huna haja tena ya kutumia tena fake Id, wakati details zako ziko wazi hapa. Hata hivyo nakutakia biashara njema.
Sio ada tu Mkuu,mambo mengi yameingiliana. Thanks anyway
 
Back
Top Bottom