Bado iko vizuri, ukifika tu unaichukua unaondoka nayo hubadilishi kitu wala haidaiwi
Ndani ya miezi 3 tu inarudisha pesa yako
Njoo ukague na mafundi wanne maana mmoja hatotosha kwa jinsi ilivyokua nzima
Imetunzwa ikatunzika
Sauti ya injini kama mpya kwakweli naipenda sana sema maisha tu.
Injini bado yote kabisa haina shida Moshi huuoni hata kidogo.
Ukitaka pikipiki hiyo Boxer namba za simu
BEI NI LAKI 9 NA NUSU TU (950,000/=) Aalafu hapo mtu alalamike hajawahi kumiliki pikipiki
Sasa AJ inanini mkuu? Kuanzia leo ukitaka kununua kitu cha moto usiangalie namba wala KM angalia injini Uzima wake
Kuna Gari namba D zimechoka bora hata namba A
Baiskeli ya mtoto mdogo inauzwa 80 elfu.
Ila umejitahidi kuweka tangazo kwa mvuto.
AJ ni ya muda sana halafu ilikuwa inafanyiwa bodaboda.
Yaani 24/7/30 iko road.
Nakupa laki 5.