Brother Malcom
Senior Member
- Oct 27, 2015
- 123
- 598
- Thread starter
-
- #41
Naaam Mkoani natuma kwa uaminifu kabisa, na ukihitaji pia ushahidi wa bus receipts na parcel nazotumia watu mkoani naweza kukuoneshaMkoani unatuma ninazitaka tumia Kilimanjaro express kiutuma ni nzuri sana ila bado sijachagua niitakayo
Duuuuh mkuu ukisema Brigan unamaanisha nini?, Nimeshindwa kukuelewa hapaAsaivi zimefikia Ngap kwa brigan
Bei ya reja reja na bei ya Jumla.Duuuuh mkuu ukisema Brigan unamaanisha nini?, Nimeshindwa kukuelewa hapa
Bei ya jumla kuanzia dozen,12+ pieces ni 1,500/= per pieceBei ya reja reja na bei ya Jumla.
Karibu sana mkuuNakutafuta mkuu ndo mambo yaNgu hayo
Hii imenisaidia kuelewa, mimi nilidhani ni product mpya kwaajili ya kuvisha vidole kumbe ni ya kuvaa kwenye wristniliandika BRACELETS mmeamua kuandika BANGILI, kibiashara hamuoni mnaniharibia jina la product nayouza