October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Ukipewa hiyo 5M, utakua tayari kusimamia hilo wazo lako litekelezeke kwa mujibu wa huo mpango na mchanganuo wako?
Swali zuri sana!
Naweza tena hata miradi mitano nayote hakuna utaoleta asala, nikupe mfano ukirusiwa kufungua stationary ndani ya chuo kama UDSM unafikili hapo sitiyari soko lipo automate ndio mantiki ya Business location nayoiinadi iyo stationary ukawa unafanya huduma kwa bei affordable unafikili utashindwa kulitawala soko maana sio kuli-win Business location tiyari soko unalo ila kupitia strategy unalitawala | hicho ndio kilichopo ndani pesa yako hauichezei kamali kutokana na eneo tiyari lina soko linalokisubili wewe pia na strategy nilizokuandalia for my experiance itakufanya uwe guru lakini kilamtu anapata.Ukipewa hiyo 5M, utakua tayari kusimamia hilo wazo lako litekelezeke kwa mujibu wa huo mpango na mchanganuo wako?
Mie sio consult ila wazo nilotaka kutekeleza mwenyewe ila ndio hivyo mtaji tatizo la dunia.Nashukuru mkuu, kuna siku niliwahi kutoa wazo ofisini hawa jamaa wanaojiita consultant wawe ni sehem ya kutekeleza kile walichokiandika. Itawafanya wanapoandika wawe wanatafakatari uwezekano wa kutekeleza wanachokiandika. Hii ya kutupia makabrasha yenye lugha na misamiati ya kuvutia wanavuta pesa haiwawajibishi sana.
Naweza tena hata miradi mitano nayote hakuna utaoleta asala, nikupe mfano ukirusiwa kufungua stationary ndani ya chuo kama UDSM unafikili hapo sitiyari soko lipo automate ndio mantiki ya Business location nayoiinadi iyo stationary ukawa unafanya huduma kwa bei affordable unafikili utashindwa kulitawala soko maana sio kuli-win Business location tiyari soko unalo ila kupitia strategy unalitawala | hicho ndio kilichopo ndani pesa yako hauichezei kamali kutokana na eneo tiyari lina soko linalokisubili wewe pia na strategy nilizokuandalia for my experiance itakufanya uwe guru lakini kilamtu anapata.
Mie sio consult ila wazo nilotaka kutekeleza mwenyewe ila ndio hivyo mtaji tatizo la dunia.
Confident hata ukianzisha biashara tatu kwa mpigo hakuna utakayokosa wateja na hakuna scratch stage siku ya kwanza tu unauza unamaliza am write it from my experience soko kubwa tena sanaaa waliopo wanashindwa kulilisha lote na linavyozidi kwenda linaongezeka.Sikukatishi tamaa wala kubeza wazo lako zuri, hizi lugfha tamu zilinisababishia hasara ya zaidi ya 10M.
Pamoja na kwamba unaweza kuwa umeandika vizuri na kiukweli mambo uliyoyaainisha ndivyo yanavyoonekana kwa sasa.
Vitu huwa tofauti sana unapokuja kwenye utekelezaji, kitu kimoja nnachokubaliana na wewe ni kwamba, mwenye business plan kama amaeiandaa kwa umakini, anakua na nafasi nzuri ya kufanikiwa au kusitisha utekelezaji mapema na kubadili mambo kabla hajapata hasara kubwa.
Actually there are consultants who work on those terms and they do not get paid until the work is done.Yaani utagharamikia zile operational costs tu kama nauli and such ila FEES zao ni mpaka baada ama ya break even au at the time when wameshatengeneza viable business.Nashukuru mkuu, kuna siku niliwahi kutoa wazo ofisini hawa jamaa wanaojiita consultant wawe ni sehem ya kutekeleza kile walichokiandika. Itawafanya wanapoandika wawe wanatafakatari uwezekano wa kutekeleza wanachokiandika. Hii ya kutupia makabrasha yenye lugha na misamiati ya kuvutia wanavuta pesa haiwawajibishi sana.
Actually there are consultants who work on those terms and they do not get paid until the work is done.Yaani utagharamikia zile operational costs tu kama nauli and such ila FEES zao ni mpaka baada ama ya break even au at the time when wameshatengeneza viable business.