R Ruble JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 845 Reaction score 1,579 Jul 14, 2021 #1 Boot safi na mpya label shingoni. Wahi sasa. Nipo Dar. Bei elfu 70. Changamkia. SOLD Shukrani mdau uliyekichukua. Pamoja sana.
Boot safi na mpya label shingoni. Wahi sasa. Nipo Dar. Bei elfu 70. Changamkia. SOLD Shukrani mdau uliyekichukua. Pamoja sana.
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Jul 14, 2021 #2 ok sawa
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,458 Reaction score 4,283 Jul 14, 2021 #3 Ok zimetembea kilometa ngapi mkuu maana naona zina mchanga kimtindo kwenye soli zake?
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,901 Reaction score 3,941 Jul 14, 2021 #4 Namba ngapi?
R Ruble JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 845 Reaction score 1,579 Jul 14, 2021 Thread starter #5 Designer_3434 said: Namba ngapi? Click to expand... Namba 44
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Jul 14, 2021 #6 ludovic s said: Boot safi na mpya label shingoni. Wahi sasa. Nipo Dar. Bei elfu 70. Changamkia. View attachment 1852757 Click to expand... Babu Dar unapoteza muda, wahisha Chuga uone watu watakavyogombania kwa zaidi ya 100k. Dar watu wamezoea Moka na yeboyebo za kuzaa theatres
ludovic s said: Boot safi na mpya label shingoni. Wahi sasa. Nipo Dar. Bei elfu 70. Changamkia. View attachment 1852757 Click to expand... Babu Dar unapoteza muda, wahisha Chuga uone watu watakavyogombania kwa zaidi ya 100k. Dar watu wamezoea Moka na yeboyebo za kuzaa theatres