Nauza camera Canon 4000d EOS

Nauza camera Canon 4000d EOS

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
2,244
Reaction score
5,500
Wadau nauza camera Canon 4000d EoS
Ina lens tatu ambazo 18-55mm,55-250 mm na professional digital lens
Ina adapter ya 64 gb
Type of product
DSLR
Pamoja na charge yake.
Bei ni 650k
Kama upo Interested nicheki WhatsApp +255745588735
IMG_20201021_140453_2.jpg
IMG_20201021_140155_5.jpg
IMG_20201021_141038_8.jpg
 
Dah, umepewa kipindi ambacho technologia inachange matumizi ya camera yameanza kwenda chini hivyo jiandae kuiuza kwa bei ndogo...!
 
Dah, umepewa kipindi ambacho technologia inachange matumizi ya camera yameanza kwenda chini hivyo jiandae kuiuza kwa bei ndogo...!
Haya madude kwa wazungu bado ni dili ila huku kwetu labda akauze kwenye media, wabongo hatuna muda wa kwenda adventure
 
What kwa camera hazihitajiki kwasabubu ya iPhone 12 pro na ndugu zake?
Mkuu camera ziko kwenye demand kubwa Sana hasa kwa watu wa adventures ukizingatia accessories nilizoambatanisha
Dah, umepewa kipindi ambacho technologia inachange matumizi ya camera yameanza kwenda chini hivyo jiandae kuiuza kwa bei ndogo...!
 
Fungua studio upige passport size acha kuuza zawadi
 
Back
Top Bottom