Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Imetumika muda gani?
Haya madude kwa wazungu bado ni dili ila huku kwetu labda akauze kwenye media, wabongo hatuna muda wa kwenda adventureDah, umepewa kipindi ambacho technologia inachange matumizi ya camera yameanza kwenda chini hivyo jiandae kuiuza kwa bei ndogo...!
Dah, umepewa kipindi ambacho technologia inachange matumizi ya camera yameanza kwenda chini hivyo jiandae kuiuza kwa bei ndogo...!
Ushauri mzuri but tayari nafanya kazi nyingine bossFungua studio upige passport size acha kuuza zawadi
Kama umepewa zawadi shusha bei,wajasiriamali wajiongeze wachukie.Hiyo bei imekaza sana kwa usawa huu wa MaguKuna foreigner alinipa mwezi uliopita so sijui imetumika mda gani ila ni mpya tu
Lete offer yako hapoKama umepewa zawadi shusha bei,wajasiriamali wajiongeze wachukie.Hiyo bei imekaza sana kwa usawa huu wa Magu
450000/-Lete offer yako hapo
Hii camera bado ipo ndugu Mchimba Chumvi ?Lete offer yako hapo
Hili ni tangazo la 2020 ishauzwaHii camera bado ipo ndugu Mchimba Chumvi ?
Sold 2yrs ago500000 huchukui