Habari zenu wakuu......
Poleni na majukumu ndugu zanguni
Nauza camera aina ya Nikon D3000
Specification
LENS 55-200mm
Memory 8Gb
Betri yake inatunza moto
Nakupa chaja yake pamoja na Beg lake
Haina tatizo lolote lile bado iko katika hali nzuri na inapiga picha clear