Nauza Camera πŸ“· (Sony DSCW810B) kwa TZS 350,000

Godlike

Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
30
Reaction score
39
Nauza hii Camera πŸ“· kwa bei tajwa hapo juu. Ipo pamoja na cover, memory card (8GB) na adapter yake.

Niliinunua Thailand baada ya simu yangu kupotea wakati nikiwa nahitaji picha muhimu za matukio nikiwa kule. Bado ni mpya kabisa.

Napatikana kinondoni studio. Simu 0765137266

Picha na specifications hizi hapa chini.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…