Habari za majukumu waungwana,
Hongera kwa kumaliza mfungo kwa waislamu, nachukua fursa hii kuwaletea Carina S. I iliyo katika hali nzuri, bei yake ya kuulizia ni Tshs. 7.8million, mazungumzo yanakaribishwa kwa walio serious.
Gari ipo Dar es salaam. Kwa muhitaji waweza pm au piga/sms/whatsapp 0768 111 123
Mbarikiwe sana.
Picha zipo kwenye attachment.