Nauza carpet, dressing table ya mbao ngumu na kochi la watu wawili

sherberry

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
306
Reaction score
366
Habari , kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza vitu vifuatavyo vikiwa katika hali nzur sana,
Carpet /zulia la manyoya mengi-135000
Dressing table nzruri ya mbao -85000
Kochi la watu wawili-130000
Vipo katika hali nzuri
Call au whtsaap 0714249143 whtsaap 0767626990
Ps.. vitu vipo mwenge mpakani
Karibun whtsaap kwa picha nk
 
"Karibuni WhatsApp kwa picha " Nakushauri ungeweka tangazo lako ktk WhatsApp hiyo na sio hapa Jf mazee!
 
Kapeti likiwa na hali nzuri ni kubwa sikupata tu angle ya picha nzuri
Ps...kuviona na kukafua ruksa
 
Dressing table ni ya kusafisha tu au kurenew rang ikiwa katika hali nzuri.
 
Duuuh nimeipenda carpet yako ila niko Arusha mkuu
 
Hilo dressing table uza 10,000 au katupe baya sana limechakaa
 
Chukua 200k vyote nije kesho kuchukua, maana ninapokaa usafiri itakuwa 35,000 nitalipa mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…