Nauza caustic soda kutoka china kwa bei afuu

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,811
Reaction score
49,053
kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina caustic soda kutoka china, ni nzuri na zinaubora .
na zimeifadhiwa kwenye ujazo wa kilo 25..

kwa anayehitaji call 0759-331-519..

karibuni sana kiasi unachotaka uatapata..
 
Nakushauri uzipeleke TBL au Serengeti Breweries, utauza stock yote kwa mara moja. Enzi hizo nikiwa huko tulikuwa na suppliers wanaitwa Synda-Chem na wengine Ecolab EA Ltd.
 
Nakushauri uzipeleke TBL au Serengeti Breweries, utauza stock yote kwa mara moja. Enzi hizo nikiwa huko tulikuwa na suppliers wanaitwa Synda-Chem na wengine Ecolab EA Ltd.

Asante mkuu nashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…