ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
Kinalipwa kwa miezi mitatu mitatu, ila mimi nilikuwa nimelipia miezi kumi, imabaki miezi 4kinalipwa kwa miezi mingapi na ni miezi mingapi umebakiza wewe
I mean Kodi yangu itaisha mwezi April mwishoniKinalipwa kwa miezi mitatu mitatu, ila mimi nilikuwa nimelipia miezi kumi, imabaki miezi 4
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Bei ya vitu vyote jumla yake ni 380,000/= tuUmeongea yote ila haujatoa bei ya vitu vyote jumla sasa
Daah kama bureeBei ya vitu vyote jumla yake ni 380,000/= tu
Kitanda+Godoro,(vimetumika miezi sita pekee)
Jiko dogo la gesi, meza ya kusomea na kiti chake,na vyombo vingine vya kupikia na chakula!
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Yeah no kwa sababu nataka kutoka haraka haraka mkuu, nawahi msimu wa kilimo mkoaniDaah kama buree
Ningekua huko ningechukua
Huyo utatafuta mwenyewe tuKama kuna mtoto mzuri anayesoma hayo maeneo, nione tafadhali nikulipie hiyo room lakini uwe at least 21!!
Yes maji na umeme vipo muda wote...Umeme maji vipo? Kuhusu kodi makubaliano yapoje
Luku ni ya ku share
Ndiyo lakini unakuwa na sub-meter,inayokuwezesha kulipa kwa kadri unavyotumiaLuku ni ya ku share
Mkuu uliza kwanza uelekezwe, usikariri!Umemaliza chuo lakini kitanda na godoro vimetumika MIEZI SITA tu, interesting uh!!