Nina vifaa vya kazi ya car painting na body work, Yani compressor ikiwa na pipe yake,na mitungi ya gasi na pipe na mikono ya kuungia.
Niliwanunulia watu wafanyie kazi lakini biashara ikawashinda ikawa hasara. Na vilevile mazingira tuliopo kwa sasa hayafai kwa hii kazi maana ina athari kwa majirani.mf:kelele,harufu ya rangi.