BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaa inaniuma sana maana hayo madude nayahtaj zaid ya kitu chochote kwa sasa, n kwa mara moja tu au n kaz yako mda wowote naweza kupata?
Hiyo bei ni kwa kontena moja la futi 40Samah hiyo bei ni kwamoja au yote mawili
Nashukuru ndugu kwa kunielewesha kwa siku za mbelen nimehifadhi namba yako.Hiyo bei ni kwa kontena moja la futi 40
Zipo unapata Bei TSh 2,800,000 TZS KWA KILA KONTENA MOJA LA FUTI 20Kwa eneo langu ningeomba unitafutie container za futi 20 mbili nizipange kwenye angle.
Asante sana nduguNashukuru ndugu kwa kunielewesha kwa siku za mbelen nimehifadhi namba yako.
Kwa sasa Ziko temeke, buza, vingunguti na kulasini Lakini location inaweza kubadilika hasa tunapoingiza stock mpyazipo maeneo gani kwa hapa Dsm na je usafiri juu yako na upakiliaji /ushushaji?
Karibia sana ndugunikipata pesa nitakutafuta maana nina uhitaji mkubwa.