Weka beiHabari wakuu
Kwa anayehitaji Containers za 40ft ziko katika condition nzuri kabisa na zipo nyingi kama unahitaji basi nicheki tuzungumze.View attachment 2350560
weka bei na location ulipo mkuuHabari wakuu
Kwa anayehitaji Containers za 40ft ziko katika condition nzuri kabisa na zipo nyingi kama unahitaji basi nicheki tuzungumze.View attachment 2350560
Hayuko serious huyu.Duh, container kwa 10+ milioni?