INAUZWA Nauza cover ya gari ndogo kwa 80,000/=

Mchina kiboko kwa bidhaa za kwenye mtandao.
 
Nicheki mwangu tufanye biashara niko na royal saloon chapu
 
Mkuu piga picha bidhaa halisi tulinganishe na hiyo ya mtandaoni..hehehe
 
Ingekuwa imetosha ningepiga ikiwa nimevisha.. sasa hapo napigaje hiyo cover [emoji3] ikiwa chini au?
Wengi Wana vi baby woka..we tafuta Mtu mwenye ki ist valisha ..wat refer hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…