Nauza crets za bia na soda

Nauza crets za bia na soda

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000.
Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
 
mawakala wanauza...fungua goli agiza kreti 50 hata kama huna kreti hata moja utapewa kreti kwa 15k
Kumbuka hizo cret50 ni kampun moja pekee, kwa hiyo itakulazimu ununue cret 50 kwa kila kampun.. sio watu wote wako na power hii mkuu..
 
Back
Top Bottom