Mimi ni kijana mjasiriamali wa kitanzania, ninajishughulisha na uuzaji wa dagaa kwa ajili ya kutengenezea chakula cha kuku/mifugo, hivyo natafuta mteja/wateja wa dagaa hao.
Dagaa hao wanapatikana kuanzia tani 1.
Bei ni shilingi 3000/= kwa kilo 1, ambayo itajumuisha usafirishaji wa mzigo hadi mahali ulipo, nimewasilisha mfano wa picha hapo chini.