Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
MwanzaUko wapi??
Tatizo ni jina lako!!!!!!!!!!!!Kama mada inavyojieleza
Kuanzia ijumaa ntaanza kuuza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla
Ndoo la lita 20 kwa sh.60,000/-
Wale wanaohitaji waje pm ntasafirisha mikoa ya Moro na Dar.
Jina limefanyaje? Wee kama unataka dagaa njoo tufanye biashara Kama huna hela kaa pembeni na si kuniletea porojoTatizo ni jina lako!!!!!!!!!!!!
Jina limefanyaje? Wee kama unataka dagaa njoo tufanye biashara Kama huna hela kaa pembeni na si kuniletea porojo
We jamaa ndo mana siku hiz sikuoni kwenye jukwaa la mapenzi kumbe upo bize na dagaaKama mada inavyojieleza
Kuanzia ijumaa ntaanza kuuza dagaa wa kukaanga kwa Bei ya jumla
Ndoo la lita 20 kwa sh.60,000/-
Wale wanaohitaji waje pm ntasafirisha mikoa ya Moro na Dar.