Computer4Sale Nauza Desktop full kasoro Keyboard

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
386
Reaction score
514
DESKTOP DELL YAKUSIMAMA
processor•intel Core i3 2120
ram•8gb 4x2
hdd•500 | 320
display• HP L1710 NCH 17
mouse•hp wired optical mouse
gamepad•Ucom
bei ya kuuza ni 300k

LINGANISHA BEI YA DUKANI KISHA NJOO MALI IMESIMAMA....

WALE WA 250|260|270 BAKINI NAZOO MABOSS ZANGU

[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]








IPO. DAR ES SALAAM KAMA UPO NJE YA DAR MTUME NDUGU YAKO AJE AIKAGUE NDO BIASHARA IENDELEE
 
Dah nimekosa kitu kizuri kabsa. [emoji26][emoji26] mkuu mimi niko mkoani
 
kwanini iwe lazima ikaguliwe?
kama kitu ni kizima katika ubora wake hofu yako inatoka wapi
 
kwanini iwe lazima ikaguliwe?
kama kitu ni kizima katika ubora wake hofu yako inatoka wapi

kuna watu duniani vichwa vyao cjui vinawadudu.....

we tulia hapoo sina hofu na wala silazimishi mtu kununua asie weza kuja kukagua asinunue maana kwanza muda wa derivery sina njoo kagua washa ondoka nayo utaki ulazimishwi....
 
Unapatika dar sehemu gani?
 
Jamaa ana mkwara mnene na maneno shit utafikiri mashine na bei anayotaja ni kapendelea. Bei ya mashine na sifa zenyewe ni upo ndani ya range ya hizo mashine kwa mtaani. Hapo ni kama muuzaji hana haraka. Kama muuzaji ana haraka hiyo hela inashuka.

Na bei uliyotaja ni inabidi utoe power cable, VGA, mouse na keyboard. Sasa keyboard huna unaanza kuwaandikia watu matusi. Akikupa 300K na siyo mjanja means itabidi anunue keyboard kwa 15K na kukufuata huko kijijini kwenu si ni bora aende shop?

CPU peke yake 250K? KKoo wauzeje sasa? Core i3 unamdindia mtu 250? Utakamata wanyasa mzee vumilia wanakuja.
 

nandomana nikakuambia nenda kkoo silazimishi mtu kununua bei nilizo taja ji ndogo mno piaa kwa specification nilizo ainisha utaki sikulazimishi nenda kkoo
 
Mwamba ana kauli ngumu sana😃
 
narudia tena muende kkoo ambae anaona bei yangu iko juu kwa bidhaa yenye mnyumbuliko husikaa nenda kkoo tuu na wala silazimishi mtu kununua...

siwezi kulaImisha mtu kununua cjaanza kununua computer jana wala juzi kwaio cwezi kubishana na watu wanaotaka kununua kitu kwa bei wanaitaka wao narudia tena sipo kwenye mnada
 
nandomana nikakuambia nenda kkoo silazimishi mtu kununua bei nilizo taja ji ndogo mno piaa kwa specification nilizo ainisha utaki sikulazimishi nenda kkoo
Yaani wewe huna cha kunielewesha katika hii mashine yako. Specifications ni nzuri ila hazimaanishi bei yako ni fair mnoooo mpaka uwe unatukana watu.

Mimi nawaambia humu kwa yeyote anayetaka CPU aende KKoo afike lile eneo lenye kanisa linatazamana na fremu za maduka yanayouza bongo movies na seasons zilizotafsiriwa pale pale kuna fremu za kuuza CPU, monitor na ishu kibao za computer.

Na unapata kwa bei ya huyu kinabo au chini yake kutegemea na specs. Ukienda Machinga complex CPU anayoidindia huyu jamaa unaipata kwa pesa haizidi laki mbili.
 
Core i3 alafu ni second generation aisee.
 


nawala sio kwamba sina mashine ninayooo na hio bei nimeandika hapo niyakishkaji utaki sikulazimishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…