Computer4Sale Nauza Desktop full kasoro Keyboard

qaswida mix na Castr hebu fanyeni huu mjadala muusitishe kwa faida yenu wote tafadhali na faida ya jukwaa hili la matangazo ya biashara
Kumbukeni kuna kesho na biashara bado zipo.. Hii sio mwisho.. Haya malumbano hayana afya kwa kila mmoja wetu hapa
 
kuna watu wanadharau sana alafu anakuona mtu kama umekurupuka vile...

anataka uuze bidhaa kwa bei anayoitaka yeye

yani yeye ndo apange gharama ndomana mimi natoa kauli ndogo tu mtu ikimshinda aende kkoo akatafute cpu yenye specs kama hio tajwa hapo juu kisha alinganishe bei #over
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The gunner punguza kumpiga spana
 
Et kinabo ha ha ha.. Ila jamaa kazingua mikwara mingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujanielewa itakua.

Mimi sijataka uuze kwa bei ninayoitaka ndiyo maana mwanzo kabisa nikasema bei uliyotaja ipo ndani ya range ya bei za mtaani lakini shombo unazotoa utafikiri unauza kwa bei ya chini.

Kwahiyo narudia tena specs za hiyo mashine hazitoshi wewe kuanza kutukana watu.
 
qaswida mix na Castr hebu fanyeni huu mjadala muusitishe kwa faida yenu wote tafadhali na faida ya jukwaa hili la matangazo ya biashara
Kumbukeni kuna kesho na biashara bado zipo.. Hii sio mwisho.. Haya malumbano hayana afya kwa kila mmoja wetu hapa
Biashara na huyu mshkaji kama matusi yake ni haya namuescape mapema tu
 
waje tuu wafanye survey aukatazwi njoo ulizia tuu [emoji1787][emoji1787]
 
bei ya chini kwa hio bei ya mtaani sio kwa specs hizo utaki sikulazimishi.. mtaani ukute mtu aliuziwa naalie uziwa aliuza anatafuta wakumuuzia au nae anashida kwani ujawai ona mtu anauza bidhaa kwa bei ya hasara kwakua anashida sasa usilinganishe hao na mali ninayouza kishkaji mtu anaona nauza bei waende kkoo alafu nilichopenda umewaelekeza ofisi watapata hitaji laoo wakalinganishe bei pia survey ni nzuri kwa mnunuzi wa bidhaa yeyote
 
Unavyodengua wakati likomputer lenyewe la kizamaniii. Huwezi pata compurmter ya kisasa yenye monitor iliyokuwa square.

yako mpya ipo wapi ya zamani ya mwaka gani au wewe ndo mtengenezaji...
 
Biashara na huyu mshkaji kama matusi yake ni haya namuescape mapema tu
Kibingwa kabisa fanyeni kama hili limeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujalazimishwa ukumbuke maduka yapo ukiona mimi nauza bei kali kapambane dukani
Sijasema popote kwamba unauza bei kali bali hoja ni kwamba, acha kujifanya unauza kidonge cha kurefusha maisha!! Hizo kauli zako zingekuwa na maana enzi za Mkapa kurudi nyuma lakini sio sasa ambapo PC zimejaa kila kona!!
 
Wapi nimesema unauza bei kali?! Hoja yangu ni kwamba, acha kujifanya unauza kidonge cha kurefusha maisha!! Hizo kauli zako zingekuwa na maana enzi za Mkapa kurudi nyuma lakini sio sasa ambapo PC zimejaa kila kona!!

wewe ulitakaje wewe ndo unipangie thamani ya bidhaa yangu au ulitaka iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…