Habari wakuu, kwa wale ambao ni wapenzi wa simu za kizamani ( Old School ) za button na za touch, ninauza Spare za hizo Simu, kuanzia mikanda, Speakers, mic, slot za SIM card, na vioo.
Models ambazo spare zake zipo ni
*Nokia
*Sony Ericsson
*Samsung
*Lg
*Blackberry