Nauza duka kwa mtu anaetaka kuanza biashara

Mamy7

Member
Joined
Apr 18, 2023
Posts
21
Reaction score
29
Habari wana jamvi. Kuna duka naliuza liko Mwanza Nyasaka. Ni duka la urembo lina vipodozi,nguo,mikoba na viatu. Naliuza milioni 2.5 tu na kodi yake inaenda hadi January 2025. Kwaiyo ukinunua wewe ni kuingia tu na kuanza biashara.
Kwa mawasiliano nipigie 0759026697
 
Vipi naweza nikalinunua nikakuweka wewe uniuzie
 
Hizo bidhaa hazifiki 1.5 labda kwa sababu ya kodi mkuu..kodi yake bei gani kwa mwezi
 
Biashara imebuma nini??mwanza unatakiwa huuze masangara sio manguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…