INAUZWA Nauza Duka la jumla la Vyakula

INAUZWA Nauza Duka la jumla la Vyakula

director Zion

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
67
Reaction score
30
Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.

Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu.

Hutojuta, mi mwenyewe naliuza huku roho inaniuma...

Changamkieni fursa utanishukuru baadaye....

Mawasiliano yangu Ni 0656 052164 kwa aliye serious tu ...ahsante

FB_IMG_1597335370351.jpg

FB_IMG_1597335359699.jpg

FB_IMG_1597335343931.jpg
 
Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.

Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu.

Hutojuta, mi mwenyewe naliuza huku roho inaniuma...

Changamkieni fursa utanishukuru baadaye....

Mawasiliano yangu Ni 0656 052164 kwa aliye serious tu ...ahsante

View attachment 1536254
View attachment 1536255
View attachment 1536258
1) Kodi kiasi gani?

2) Na imelipiwa mpaka lini?

3) Daily Sales/Turnover ni kiasi gani average?
 
Usikubali kupoteza hii business kwasababu ya kumfuata mume, utakuja jutia sana, na hutopata tena hii nafasi, kuijenga biashara mwanzo ni mgumu, sasa ulishapita huko mwanzo hatua za awali na sasa unaanza kuliuza,

Sorry hiyo namba hapo juu ni yako imesajiliwa jina gani na ni namba yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nahitaji sana biashara ila hiyo bei hata harufu yake tu siiwezi.
 
Back
Top Bottom