director Zion
Member
- Jan 2, 2017
- 67
- 30
Sawa ahsante,ila nilihitaji nisimamie mwenyeweKama tatzo ni usimamizi/muuzaji, nkabidhi mm nilisimamie hutojuta.
Hapana Kuna storeHivyo vitu ndio mil 20
AhsantNakuona mama mchakarikaji
Ila inaonekana sio mtumiaji sana wa JF toka 2017 bado ni New member.. Karibu sana jukwaa LA Siasa na MMU porojo haziishi kule.. Sasa HV utakuwa SeniorAhsant
1) Kodi kiasi gani?Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.
Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu.
Hutojuta, mi mwenyewe naliuza huku roho inaniuma...
Changamkieni fursa utanishukuru baadaye....
Mawasiliano yangu Ni 0656 052164 kwa aliye serious tu ...ahsante
View attachment 1536254
View attachment 1536255
View attachment 1536258
Haha sawa mkuuIla inaonekana sio mtumiaji sana wa JF toka 2017 bado ni New member.. Karibu sana jukwaa LA Siasa na MMU porojo haziishi kule.. Sasa HV utakuwa Senior
1) Kodi kiasi gani?
2) Na imelipiwa mpaka lini?
3) Daily Sales/Turnover ni kiasi gani average?
Hapana,imetulazimu kufanya hivyoPiga kazi, Uwe unamfata likizo
Sawa chakachua kuanza upya ni ngumu kufika ulipoHapana,imetulazimu kufanya hivyo
Maswali niliouliza sijajibiwa yoteKodi ni laki na nusu, inaisha mwezi wa kumi
Karibu inbox bossMaswali niliouliza sijajibiwa yote
Nikweli mkuu...ila familia Ni muhimu piaSawa chakachua kuanza upya ni ngumu kufika ulipo
Kweli kila LA kheriNikweli mkuu...ila familia Ni muhimu pia