INAUZWA Nauza duka la vifaa vya watoto kwa Tsh 5,000,000

Anola Semndili

New Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
3
Reaction score
1
NAUZA DUKA LENYE VIFAA VYA WATOTO

DUKA LINA KILA AINA YA VIFAA VYA WATOTO NALIUZA (diapers, mafuta, toys, nguo, baby walkers, mabeseni, vitanda, midoli, chupa, n.k) LOTE KAMA LILIVYO DUKA LIPO MBWENI, BEI NI 5M
Kwa Mawasiliano: 065 839 4857



 
NAUZA DUKA LENYE VIFAA VYA WATOTO
DUKA LINA KILA AINA YA VIFAA VYA WATOTO NALIUZA (diapers, mafuta, toys, nguo, baby walkers, mabeseni, vitanda, midoli, chupa, n.k) LOTE KAMA LILIVYO
DUKA LIPO MBWENI, BEI NI 5M
Kwa Mawasiliano: 065 839 4857
Yaani fremu yote? Umejenga au umekodi?
 
Kwa nini unauza?
Hizo mali zikipigiwa hesabu zinatoa hiyo 5m kweli?
 
Nauza kbb nmepata kazi mkoani na sina mtu ninayeweza kumuachia duka
Ndio thamani ya mzigo unafika 5M na zaidi
Ila kwa kua nataka kuliachia duka sina namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…