Ni ngumu kukuambia idadi ya bidhaa mkuu mana bidhaa ni nyingi kwa wenyeuzoefu wa biashara ya maduka wanaelewa...ndomana nimeweka namba kwa mwenye kua na interested anitafute
But nilipo kodi nalipa 60,000 na sidaiwi chochote....
Ehh kwamba hakuna mambo ya ukaguzi wa mzigo au huweki kumbukumbu mkuu. Alaf 8m dah mbona utaikumbuka mkuu. Wanunuzi wanaweza kuja ila wajibu maswali yao
Ehh kwamba hakuna mambo ya ukaguzi wa mzigo au huweki kumbukumbu mkuu. Alaf 8m dah mbona utaikumbuka mkuu. Wanunuzi wanaweza kuja ila wajibu maswali yao