INAUZWA Nauza DVD Dublicator

INAUZWA Nauza DVD Dublicator

IZENGOHADITHI

Member
Joined
May 5, 2017
Posts
21
Reaction score
39
Wadau nilinunua hii mashine mwaka jana mwezi wa 11 hivyo bado mpya ina milango 8 na master,shilingi 600,000/=,kinachonisababisha kuuza ni kukosa usimamizi wa biashara niliyotaka kuifanya. Mawasiliano 0717986042
 
Wadau nilinunua hii mashine mwaka jana mwezi wa 11 hivyo bado mpya,kinachonisababisha kuuza ni kukosa usimamizi wa biashara niliyotaka kuifanya. Mawasiliano 0717986042
picha yake tafadhali au toa future zake (in baba sizo.... voice)
 
Ina ram 540,milango 8 moja master aina ya Zec na ipo katika hali nzuri kabisa,imebarn DvD 1,000 tu.
 
Back
Top Bottom