IZENGOHADITHI
Member
- May 5, 2017
- 21
- 39
picha yake tafadhali au toa future zake (in baba sizo.... voice)Wadau nilinunua hii mashine mwaka jana mwezi wa 11 hivyo bado mpya,kinachonisababisha kuuza ni kukosa usimamizi wa biashara niliyotaka kuifanya. Mawasiliano 0717986042
picha nashindwa kuiweka (in baba sizo... voice) kwenye mabano sijakuelewapicha yake tafadhali au toa future zake (in baba sizo.... voice)
usijali weka features zake kakapicha nashindwa kuiweka (in baba sizo... voice) kwenye mabano sijakuelewa
Ina ram 540,milango 8 moja master aina ya Zec na ipo katika hali nzuri kabisa,imebarn DvD 1,000 tu.usijali weka features zake kaka