Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh haina tatizo hii mbona kama imefunguliwa kwenye engine hapo mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Janga Hilo mbona namba zake zimefutwa?
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUukiwa serious waweza iyona iko poa kabisa
Gari ni yangu mwenyewe na ni eicher mpya mayai kama unazijua vizuri hizo gari utaelewa na pia sina sababu ya kudanganya ingekuwa imefanyiwa modification ningesema.Inaonekana ya zamani either custom made, kuwa na namba D haimaanishi ni mpya mpya hizo namba watu wanachakatua tu siku hizi, Punguza bei kidogo kama 20 hv
Kaedit chief hajafuta
gari ipo mwenye pesa aje kuiona ,nilinunua mpya sijaibadilisha chochote toka ninunue zaidi ya matengenezo madogo madogo ya kawaida kwa daladala na ikitokea nimetatua shida yangu sitauza au bei itapanda kwasababu gari inafanya kazi vizuri tuu haina deni wala tatizo loloteMwenye hela akanunue, wasiwasi wangu ni kununua plate namba!
Ingia dm nimekucheki,Mkuu.#1
Hakuna dalali nauza mwenyewe.
gari ni nzima haina tatizo lolote na iko kwenye hali nzuri kabisa
Namba ni DDJ ....
Million 28..
Karibuni kwa maelezo zaidi tuwasiliane,
0713220021
gari ipo mwenye pesa aje kuiona ,nilinunua mpya sijaibadilisha chochote toka ninunue zaidi ya matengenezo madogo madogo ya kawaida kwa daladala na ikitokea nimetatua shida yangu sitauza au bei itapanda kwasababu gari inafanya kazi vizuri tuu haina deni wala tatizo lolote