Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Eneo lipo karibu na hii barabara. Kwa aliye serious anifate DM.

Asante.
 
Acha makasiriko, kama kweli uko serious njoo PM.
Hii si biashara ni utapeli..
Weka Vitu hadharani Eneo kiwanja kilipo kama ni NKUHUNGU AU KIZOTA AU 4 WAYS AU AREA C,K/NDEGE...

UKIMALIZA WEKA PLOT NO..NA BLOCK....

UKIMALIZA WEKA UMILIKI KAMA KINA RIZI AU HAKINA UMILIKI UKO CHINI YA HALMASHAURI AU WIZARA...
UKIMALIZA WEKA PICHA..

Watu huibiwa kwa sababu ya Kukosa vitu Tajwa hapo juu Kwa sababu ukiweka kwa Jamii nzima kama hivi kama ni eneo ambalo si lako ni la kutaka kutapeli..wapo wanaolifaha.u watasema hilo eneo la fulani...
Hii hujenga biashara na uaminifu katika kazi...

Nikutakie Utekelezaji mwema..

Na nimpe Pole in Advance anayeenda kuchinjwa..
 
TAPELI KAZINI SASA UNATANGAZA BIASHARA HATA MAELEZO HAYAJITOSHELEZI .ACHA UTAPELI KIJANA UTAKUJA KUBAK.......WAAA
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Anyway serious buyers watanitafuta.
 
ungefata ushauri wa juu. ndo,maana walioangalia wengi 200+ michango chini ya 10. watanifuata maake bado hujafuatwa jiulize kwanini? kama muuzaji utajifunza
 
Anyway serious buyers watanitafuta.
Akutafute kwa lipi? Yaani haya mashudu uliyoweka hapa na unashauriwa unakaza fuvu. Sijui kwanini Moderators hawaonagi vichwa maji kama hawa
 
Back
Top Bottom