Nauza electric hydraulic jack

Nauza electric hydraulic jack

dysu

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
25
Reaction score
15
Nauza jack za umeme.hizi n nzur sababu Kwanza zinapunguza matumizi ya nguvu n kuruhusu umeme wa gari ufanye kaz.pia znafungua tyre pamoja na kujaza upepo,jack Hz utumia umeme wa gari ambapo hutumia kile kisehemu cha sigara.n nzuri na znasave Muda hata kama umekwama usiku sababu zina mpka tochi uzur wake n kwamba

1- znanyanyua gari mpk 5tani
2- znajaza upepo zenyew
3- znafungua tyre,n umeme t sio matumiz ya nguvu.

Price 380,000

Call/WhatsApp 0673-364751
 
Attachments

  • PXL_20230607_124332498.PORTRAIT.jpg
    PXL_20230607_124332498.PORTRAIT.jpg
    2.1 MB · Views: 9
  • PXL_20230607_124746309.PORTRAIT.jpg
    PXL_20230607_124746309.PORTRAIT.jpg
    5.4 MB · Views: 9
  • IMG_20230609_201851_205.jpg
    IMG_20230609_201851_205.jpg
    282.5 KB · Views: 8
Kwa umeme huu w mgao?
hiyo ni jeki ya kawaida ya kunyanyua gari likipata pancha au changamoto nyingine; inatumia umeme wa gari (kutokea kile kisehemu cha kuwasha sigara)
Faida zake: Ina nyanyua gari, Inajaza upepo wa tairi na inakifaa cha kufungulia nuts za tairi.... vyote hivyo bila kutumia nguvu yako
Nafikiri ndio hiyo mtoa mada anaongelea japo naona hajatoa bei wala picha....
 
Inaonekana una uelewa mzuri sana wa hicho kifaa Mkuu. Kwa uzoefu wako ni roughly how much kwa za size ya magari madogo? Maana jamaa hataki kuweka bei hadi apigiwe!
 
Inaonekana una uelewa mzuri sana wa hicho kifaa Mkuu. Kwa uzoefu wako ni roughly how much kwa za size ya magari madogo? Maana jamaa hataki kuweka bei hadi apigiwe!
Mbona nimeweka mkuu
 
Back
Top Bottom