Plot4Sale Nauza eneo/kiwanja - Mwanza

Invigilator

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
3,203
Reaction score
5,997
Nauza eneo/ kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa makazi.

Mahali:Nyashishi - Mwanza.
Kilometre 1.5 kutoka barabara kuu ya lami,
Mwanza - Shinyanga.

Aina: Tambarare,kubwa na zuri kwa ujenzi.
-Halina mawe kabisa ndani yake.
-Linafikika kwa gari na watu wamejenga jirani.
-Halina mgogoro wowote na hati zipo.
-Halina dalali (me ndiye mmiliki).
-Mawe kwa ajili ya ujenzi yanapatikana karibu.

Vipimo: Sio Square
-Urefu- Mita 35(Kus) - Upana M. 25 (Magh).
-Urefu -Mita 26(Kas) - Upana M.21 (Mash).

Bei - Tsh Milioni Tatu (3 M) Maongezi yapo.

Mawasiliano: 0627 693 146

Kama lipo upande wa ilipokuwa nyashishi sekondari naomba nkupatie kesho 2m,tukutane pale nile pub saa5 ila kama lipo huko taxas huko hapana jombaaa
 
Kama lipo upande wa ilipokuwa nyashishi sekondari naomba nkupatie kesho 2m,tukutane pale nile pub saa5 ila kama lipo huko taxas huko hapana jombaaa
Kwani Nyashishi sekondari ilishahama pale..?Maana sijatembelea maeneo hayo kitambo
 
Kama lipo upande wa ilipokuwa nyashishi sekondari naomba nkupatie kesho 2m,tukutane pale nile pub saa5 ila kama lipo huko taxas huko hapana jombaaa
Ahsante kwa utayari Mkuu,ila kwa hiyo bei inakata mkuu,panda kiasi.
 
Huko ni porini bwana
 
Bei Sahihi isiyo ya tamaaa, ardhi nzuri isiyo na Maji, mchawi pesa sasa
Ardhi, maji, na mito havitakiwi kuuzwa,mtu akitaka avitumie bure kama alivyovikuta mpaka atakapoviacha, kwa sababu binadamu asiye na hela hizo huduma atazipataje hapa ulimwenguni. Gawa hicho kiwanja bure kwa yeyote anayehitaji.
 
Hati umeandikwa eneo linao ukubwa gani?

Nikutangulizie milioni leo laki 2 nitakulipa ndani ya miezi 6 tufunge biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…