mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Habari zenu wadau?
Nauza eneo la ukubwa wa square meter 7081.9
Lipo km 16 kutoka Mtwara Mjini.
Lipo umbali wa meter 860 kutoka bara bara kuu ya MTWARA-NEWALA.
Ni katika kijiji cha MDUWI.
Kuna nguzo za umeme zimeshushwa, umeme utakuwepo hivi karibuni, ila shughuli zote za kijamii zinaendelea kama shule, zahanati na soko.
Mm ninalitumia kama shamba kwa sasa hata hivi naandika nimelima mihogo kuchanganya na mahindi, ina miezi mitatu kwa sasa.
lina hati halali ya serikali ya kijiji.
Eneo linafikika kiurahisi kabisa kwa gari, pikipiki na hata baiskeli mpaka ndani ya eneo.
Eneo ni la tambarare na linarutuba ya kutosha.
Unaweza kulitumia kama makazi, ukafanya ufugaji wa kuku, nguruwe, mbuzi nk. Kama wanavyofanya baadhi ya majirani zangu.
Lipo jirani na bonde la maji yanayotumiwa na wanakijiji hivyo unaweza kulima mboga mboga, karoti, ndizi, mapapai, karanga, ufuta, mahindi na hata mihogo.
Kama unataka kwa makazi unaweza kutengeneza mradi wa kuvuna na kuuza maji ya mvua.
Unaweza ukatengeneza faida ya mwaka kati ya mil 8 mpaka 12.ukiwekeza kwenye biashara ya kuku na Mayai ya kisasa.
Kwasababu lipo jirani na eneo la shule flani ya watoto maarufu sana hapa mtwara, ni rahisi kupata soko la bidhaa zako hapo.
Nimeamua kuliuza kwakuwa kuna tatizo la kiafya natakiwa kutatua na ni muhimu kuliko eneo.
Bei ni Million 3.5 tu, Punguzo lipo lakini ni dogo mno.Hakuna dalali mmiliki ndo muuzaji.
Kama una uhitaji nifuate dm au nichek kupitia 0719 466 225.
Unaweza kunichek whatsapp kwa namba hiyo kama ukihitaji picha zaidi.