inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
Chief, mibongo mingi inaendesha magari, lakini haijui majinga ya engine za gari zao.Salam wadau.
Nauza engine ya K12B,displacement 1290.
Engine ni nzima kabisa ina mailage ya 90,000 kms
Kwa maulizo zaidi tafadhali dm.
Suzuki swift second generation na Suzuki jmnyChief, mibongo mingi inaendesha magari, lakini haijui majinga ya engine za gari zao.
Hebu tusaidie kutuambia inavaa kwenye bodi/gari gani?
Kama iko poa, weka ofa, mimi nitakusaidia kutafuta wateja, nina deal na mambo ya spea za magari
Halafu usiogope kutaja bei humu mtandaoni, waliopo humu mtandaoni ndio hawa hawa tunaoishi nao mtaani na wengine ni ndugu zetu tunaowajua.
Andika bei yako, mtu kama ana nia ya dhati atakuja kuomba punguzo akiwa huko huko.
Inakuja complete na waya zake? Nicheck 0755815174 (whatsapp)Salam wadau.
Nauza engine ya K12B,displacement 1290.
Engine ni nzima kabisa ina mailage ya 90,000 kms
Kwa maulizo zaidi tafadhali dm.