INAUZWA Nauza feni Aina ya Ailyons

dingihimself

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
9,702
Reaction score
20,134
Nauza feni yangu tsh 35,000
Aina ya Ailyons haina shida yoyote nipo Dar-es-salaam .
Namba za Mawasiliano yangu ni
0657438581
0657438581

 
Unauza kitu hujui kimo chake???
🤣🤣🤣🤣.
Naamini hata rangi yake huijui maana si mfuatiliaji na mchambuzi wa feni.
Nadhani ujanielewa nilichoandiika, kusema sio mfuatiliaji sio tiketi ya kutojua hadi rangi
 
Nadhani ujanielewa nilichoandiika, kusema sio mfuatiliaji sio tiketi ya kutojua hadi rangi
Nahisi kwa maslahi mapana ya biashara, ungefanya uchambuzi wa vitu vya muhimu vya biashara yako ili hata mteja akiuliza uweze kujibu.
 
Nimeishusha sasa nauza 30k
Karibuni
Mawasiliano yangu 0657438581 nipo Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…