Samahani Mkuu,ni kifaa kinachoonesha wapi samaki walipo umbali wa kwenda chini.Ina msaidia mvuvi kufanya kazi kwa uhakika na pia kupunguza gharama za mafuta na kuokoa muda.Sababu ukiwa na kifaa hichi kitakuelekeza mahali wapi samaki wanapatikana hivyo hutahitaji kuzungusha boti muda mrefu kutafuta samaki na kutumia mafuta bila tija.Hauko serious na biashara, uwasilishaji wako wa tangazo haukidhi viwango vya humu.
Wateja wako wakubwa unaowalenga ni waTanzania ambao lugha rafiki kwao siyo hiyo uliyotumia inayozalisha maswali mengi kuliko majibu.
How deep can it go to find angler fish?
| Depth-Down Imaging | 125 ft (800 kHz), 200 ft (MEGA), 400 ft (455 kHz) |
Depth-Down Imaging 125 ft (800 kHz), 200 ft (MEGA), 400 ft (455 kHz)
| Range-Side Imaging (Side-To-Side) | 800 ft (455 kHz), 250 ft (800 kHz), 400 ft (MEGA) |