INAUZWA Nauza fridge ndogo used na microwave oven used

INAUZWA Nauza fridge ndogo used na microwave oven used

Fridge brand ni MR UK
Juu inagandisha Barafu na chini baridi la kawaida kuweka vinywaji,mbogamboga,matunda Nk.
Bei ni 250,000/=

View attachment 1319390View attachment 1319392View attachment 1319395View attachment 1319396

Microwave Oven Brand ni LEGACY
Inapasha vyakula na kuchoma kama ni Nyama,Samaki,Cake,Karanga Nk.
Bei ni 130,000/=
View attachment 1319397View attachment 1319398View attachment 1319399View attachment 1319400

Vyote vipo mbezi ya kimara-Dar es Salaam
Mwenye kuhitaji ni-Dm


Sent from my iPhone using JamiiForums
friji kula 95 mkuu
 
Nilikua nahitaji fridge ndogo ya mlango mmoja

kelphin kepph
 
Shekhe wangu vitu used mpaka vinapata kutu unauza kwani hauna hata ndugu au girlfriend umuonge ili ata siku mukiachana akukumbuke ??

Nakushauri hiyo fridge uza 70k na microwave uza 40k upata angalau hata Wateja wa mikoani maana Dar wanapenda vitu used lakini havijatumika sana.
 
Back
Top Bottom