INAUZWA Nauza fridge

INAUZWA Nauza fridge

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Bado nzima; ina portions mbili ya chini na juu.
Juu kwa ajili ya kupooza
Chini ya kugandisha

Ina ICE BOX kwa ajili ya kutengeneza barafu la nje.

Ni Imara. [emoji91][emoji91][emoji91]
Bei 550,000. TZS

Mawasiliano 0743123946

afa2fb74-ee45-471f-b22c-7f45ff2ab862.jpg

023d534a-43cf-4e21-94bb-8980b1e4cccb.jpg

ffff85d7-9022-46bc-974f-687a654de85a.jpg
 
Bado lipo na bei inapoa; karibuni
 
Bado nzima; ina portions mbili ya chini na juu.
Juu kwa ajili ya kupooza
Chini ya kugandisha

Ina ICE BOX kwa ajili ya kutengeneza barafu la nje.

Ni Imara. [emoji91][emoji91][emoji91]
Bei 550,000. TZS

Mawasiliano 0743123946

View attachment 1617745

View attachment 1617746
View attachment 1617747

Kabla ya kuandika bei ya bidhaa ni muhimu uzunguke kidogo na kuangalia prices ili bei yako iwe na mashiko, au uhalali.....

Bei inatakiwa iwe na chanzo, sio unaamka na kucheki jinsi gani wali wa Jana uliganda halafu unatoka na kupanga bei!
 
Karibu. [emoji4]
 
Niuzie kwa 250k ndugu, mimi ni yatima!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Back
Top Bottom