Kwa mara ya kwanza tangu niyajue masuala ya buzinec ww ndio mteja wa kwanza kupandisha bei wengi hua hulipa hiyohiyo iliyo tangazwa kama ameridhika na mzigo ama kushuka kdgDaaa hiyo kitu imetulia na bei ni ya barid[imepoa]sana.
Mkuu nipo mbali mkoani lkn hiyo kitu ningelipa 350k