INAUZWA Nauza friji langu

INAUZWA Nauza friji langu

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Nauza friji aina ya GRAM.....ni médium Size,friji hii haigandishi barafu ila inapooza TU
Kwa mawasiliano piga 0715591141 dar
Bei 200000/

Ova

Friji hii hapa

IMG-20170330-WA0058.jpg

IMG-20170330-WA0059.jpg

IMG-20170330-WA0060.jpg
 
mrangi, ni hii hali ya Magufuli imekufanya hadi unauza vitu vya ndani?😀😀
 
Mrangi bei na fridge havilingani kabisa.

Sorry kama utakwazika na hili
 
Mrangi bei na fridge havilingani kabisa.

Sorry kama utakwazika na hili
Mm nmeuza friji used zaidi ya miaka Saba luv hii friji ikipigwa maji ni kama mpyaaa

Ova
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Basi ipige maji halafu itupie tena
Ngoja nkileta mzigooo utakuja ona friji tunavyouza kwa wholesale na usafi wanunuzi wanafanya boss wangu

Ova
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Hapa mkuu ukiuza hiyo pesa natembea uchi wiki.
 
Back
Top Bottom