INAUZWA Nauza furniture za saluni yangu ya kike

INAUZWA Nauza furniture za saluni yangu ya kike

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Nafunga Ofisi Yangu Ya Pedicure & Manicure, nimekosa usimamizi mzuri

~Kuna Sofa Mbili Za Mtu mmoja mmoja (za pink) pamoja na Stuli Zake Nne
~Sofa Bench Moja La Watu Watatu (la blue)
~Meza mbili Zenye Kioo Juu, Viti Viwili Na Droo zake

BEI 850,000 (LAKI NANE NA ELFU HAMSINI ) kwa Vyote
maongezi yapo kidogo

NB: Vifaa Vyote vimetumika kwa miezi mitatu tu Tangu Vitengenezwe, atakayenunua Fenicha Zote Nitampa Rangi TANO Za GEL Na Material Nyingine, Inategemea Tutakavyo elewana

LOCATION Dar es Salaam Kigamboni
Call 0718295182

IMG-20220126-WA0001.jpg
IMG-20220126-WA0002.jpg
IMG-20220126-WA0003.jpg
IMG-20220126-WA0000.jpg
IMG-20220126-WA0004.jpg
IMG-20220126-WA0005.jpg

1643191734965%20(1).jpg
 
Dah! Siku mtu huna hela ndio unakutana na madodo ya hivi

ukiwa na hela hukutani na kitu ya maana mpaka hela uile yani
 
Back
Top Bottom