BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
LAKI 2.5 hii ni nyumba sio fremuSorry, fremu hio imeshapata mtu? Na ilikua unalipa sh. ngapi kwa mwezi?
Acha kabisa afisaDah! Siku mtu huna hela ndio unakutana na madodo ya hivi
ukiwa na hela hukutani na kitu ya maana mpaka hela uile yani
Nauza afisa ni maelewano tuSofa pekee hizo z pink huuzi?
Tuko pamoja mkuuAhsante kwa taarifa...
Aisee, kuna vyumba vingapi hapo kwaajili ya kufanyia "Happy Ending..?"LAKI 2.5 hii ni nyumba sio fremu
Chumba Kimoja na sebuleAisee, kuna vyumba vingapi hapo kwaajili ya kufanyia "Happy Ending..?"