Car4Sale Nauza gari 2,200,000/=

Hii gari kama nishawahi kuiona mitaa ya kinondoni studio karibu na invotech mitaa ile he ac ipo maana naona hapo ulipopigia picha ni kwa Fundi wa AC
 
Hii gari kama nishawahi kuiona mitaa ya kinondoni studio karibu na invotech mitaa ile he ac ipo maana naona hapo ulipopigia picha ni kwa Fundi wa AC
Sawa sawa na ofisi yangu ipo maeneo hayo fremu ya tatu kutoka kwa mzee wa AC
 
Mwenyezi mungu akusamehe kwakuwa haujui ulinenalo!
Usikute unatakiwa usamehewe wewe ahahahahahaaa.... anyway uza gari yako mkuu acha kujitetea kwa kila anayekupinga au anayekomenti usiyoyapenda..
 
Hi nzuri kwa biashara ya Taxi ntakucheki mkuu mana bodaboda vijana wanaharibu sana nakula hasara
 
Hili inatakiwa ukililinua uwe ulipitia VETA kidogo. Ila litauzika tu!
 
Hivi Mkuu ile biashara yako ya kukopesha watu Pesa kisha wanaweka bondi magari yao bado unayo??
 
Mkuu gari huu utapata mteja fasta. Watu hatufanani , na haina maana kuwa gari ikiuzwa bei ndogo lazima iwe kimeo...Nina ushuhuda MTU alinunua kwa 1.8m collora e100 miaka 2 iliyopita na bado iko vema anatumia kwa shida zake za usafiri. Sio kila MTU akitaka kununua gari anataka ya showoff, wengine wanakaa msakuzi huko wana kibarua posta, hakika gari itamsaidia bila kujali no A,B,C, au D: gari matunzo, hata kama ni ya mda unajuaje ubovu wake wakati spea hubadilishwa Mara zinapoisha, na hii kwakwambia injini kabadili; pia una fursa ya kuikagua gari vizuri.
 
Safi sana IPILIMO Baeleze, maana kuna watu wako humu kazi yao ni kuharibu biashara za watu! Kwenye kuuza gari humu huwa sina presha hata kidogo na ndio maana hata gari zangu mbili za mwanzo niliuza humu humu licha ya watu kuikejeri biashara yangu. Gari hii naiuza ili niongezee hela nitafute gari nyingine na sio kwamba nauza kwakuwa ni mbovu hapana ni nzima kabisa halafu ndio naitumia kila siku from goba to kinondoni. Kuna baadhi ya wateja wa mikoani wameishaanza kunitafuta kwahivyo sina presha ya kuiuza hata kama nitakaa nayo mwaka mzima sina hata presha kwakuwa ni gari nzima, ngumu na inanisaidia. Asante sana Ipilimo
 
Gari ni matunzo tu na kujua thamani ya gari na umuhimu wake kwako. Mie nina creata ni number A lakini ukija na Number D yako haitii mguu ila all in all mkuu Frank gari yako utaiuza na usikate tamaa. Stand still, be solid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…