Nauza gari aina SUZUKI SWIFT ipo katika hali nzuri sana

yakobo11

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
510
Reaction score
739
Habari za wakati huu, gari unayoiona hapa aina ya Suzuki Swift , uwezo wa engine cc1300, hipo katika hali njema sana. Kila kitu chake nj chema. Bei ni 5,500,000/= njoo nikuuzie gari. Kwa lolote njoo PM napatika muda wote.

Inanusa mafuta ....imetulia...inafaa hata kwa kiifanya Taxi na kujitengenezea fedha. kinoma...inapendeza...iwahi kabla haijawahiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190222-WA0005.jpeg
    26.5 KB · Views: 59
Hizi gari sio asee. Halafu zimekaa kishamba sana bora hata IST au BELTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…