Car4Sale Nauza Gari aina ya IST

Atakama ushuru umepanda uwezi uza iyo gari bei iyo
 
Tatizo madalali mnapenda cha juu hiyo hela si unavuta nyingine showroom
 
Ndugu ist unaijua au unaisikia....

Amini nakuambia iyo gari anauza na hatomaliza nayo wiki mkononi

Waambie bora wewe umesema... nadhani hawawajui
Badala waseme wana kiasi gani wanakebehei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…